aoû
03
2015

BARAKA: KONGAMANO LA KIMATAIFA ILIKUDUMISHA AMANI

UBEMBE_CONFERENCE.jpg

Mmoja wa wahubiri akiwa kwenye jukwaa akihubiri amani

Maelfu ya waumini wakristo kutoka nchi mbalimbali wamefika kwa kongamano la kimataifa la UBEMBE CONFERENCE,linalolenga kudumisha amani na umoja kati yamakabila. Haflahii inafanyika katika mji wa Baraka mkoa wakivu ya kusini mashariki mwa CONGO.Wainjilisti pamoja na wanamuziki wa nyimbo za dini kutoka kote duniani ni miongoni mwa waalikwa rasmi.

Langues: 
Genre journalistique: 
Durée: 
00:04:15

Partager