sep
23
2015

BARAKA: Naibu Liwali wa jimbo la kivu ya kusini awasili kwakutuliza raia awaliofanyamgomo

image_ALONDA_MBULO.jpg

Image Alonda mbulo en visite à mwatembo baraka

Ujumbe mkubwa uliongozwa naye Makamo Gavana wa mkoa wa kivu ya kusini, Mhe Gabriel Alonda Mbulu,ulipokelewa jijini Baraka katika mazungumuzo na mashirika ya kiraia,ilikuwapa moyo wakaazi wote wa tarafa la fizi huku akiwakikishia ya kwamba shirika la waganga wasio na mipaka HMS-HOLLANDE, lipo na litaendelea na huduma zake za matibabu kwa uma.
Wakaazi wa Baraka na vitongoji vyake waliandamana hukushughuli zote zikizorota kufuatia vitendo vya wizi vyakutumia silaha vinavyo ripotiwa siku baada ya siku kwenye ofisi kuu ya shirika hilo la MSF,huko waalifu utoweka na vifaa muhimu vya kazi pamoja na pesa nyingi nakuelekea mahali pasipo julikana. ifuTyo ni trif Y mwandishi wetu Thomson UNDJI BATANGALWA.

Langues: 
Genre journalistique: 
Thématiques: 
Durée: 
00:05:31

Partager