aoû
30
2015

Mji wa Goma una meya mpya tangu tarehe 29 August 2015

Tangu jana, muji mkuu wa jimbo la Kaskazini una kiongozi mpya. Bwana Dieudonné Malere Mamicho anaingiya ku nafasi amboya bwana Nasson Kubuya Ndoole alikua alikua akiongoza tangu zaidi ya miaka mbili sasa. Naomba kusikiliza ujumbe wake wazi mkuu wa usalama wa DRC ukisomwa hapa naye Edguard Mahungu, akiwa coordonator wa camati ya wapasha habari wa govana wa jimbo.

Langues: 
Genre journalistique: 
Thématiques: 
Durée: 
00:00:47

Partager