juin
16
2015

SUD-KIVU: Kijana asie soma apata ajira kulingana na kazi yamikono aliojifunza katika upigaji Guitard.

TEXE_2.jpg

Eca Mmelelwa TEXE akiwa kwenye mazoezi

Kazi ni mmoja ya vitu muhimu katika maisha ya mwanadamu ilikuendeleza maisha ya kila siku . wengi wa watu uajiriwa kuendana na ujuzi na fani Waliyoisomee .
baadhi ya vijana ambao awakuweza kupata baati ya kusoma lakini wakajifunza kazi ya mikono hasa katika upikaji Guitard kwasasa wanaajiriwa kufuatana na kazi nzuri wanayo ifanya katika nyimbo zao za injili. BYOBE MALENGA wa Radio Ngoma ya Amani, alimtembelea ECA MMELELWA TEXE mmoja wawapiga guitar na watunzi maarufu wanyimbo za njili nakufanya mazungumzo naye.

Langues: 
Genre journalistique: 
Thématiques: 
Durée: 
00:04:17

Partager