
Image publicitaire de CHIZI ROBERT en concert
Wakati huu ambapo vijana wengi wamejihusisha na fani ya Mziki kama ajira, wasani wengi wanasema kuwa biashara hiyo aitowi pesa kutokana na suala la wezi wa nyimbo kusambaza nyimbo hizo mapema.Wengi wawasani hao sasa wemesema ikiwa serekali ahito chukuwa atuwa madhubuni ilikudhibiti hali hiyo basi wataamiwa Filamu na kuachana na mziki.
Mwandishi wa Radio Ngoma ya Amani , BYOBE MALENGA, alikutana na msanii maarufu wa nyimbo za kizazi kipya ,MUKANDAMA BYAMUNGU maarufu CHIZY ROBERT, nakuandaa taarifa ifuatayo kwa niaba ya Infos Grands Lacs.