juin
25
2015

UVIRA : Ilikupambana na makundi ya waasi hasa sana kundi la FDLR, Mashariki mwa DRC,serekali imemteuwa Brigedia Jenerali BWANGE SAFARI GUSTAVE ,katika operesheni SOKOLA II

uvira.jpg

Image de la FARDC à l'investiture d'un nouveau commendement dens la ville d'Uvira

Katika jitiada za kupambana na makundi ya waasi yanayo yumbisha usalama wa raia wa mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo, serekali ili mteuwa kamanda mpya wakijeshi, Kamanda mpya wa kijeshi katika eneo lililo kusini mwa Jimbo la Kivu ya Kusini ametawazwa rasmi siku ya tatu Juni 24 hapa Uvira, Brigedia Jenerali BWANGE SAFARI GUSTAVE ambaye ameshimikwa mbele ya mamiya ya rahia wa Uvira...
Brigedia huyo , alihutubia maelfu ya wakaazi wa mji wa Uvira, nakusema kuwa lengo lake ni kuakikisha amewapa raia usalama sabithi, Lakini akisisitiza ushirikiano wa jeshi na Raia.
Mwandishi wa Radio Ngoma ya Amani alieko huko Uvira,JONAS SEBA MKYABELA, Aliandaa taarifa ifuatayo kwa niaba ya Infos Grands Lacs.

Langues: 
Genre journalistique: 
Thématiques: 
Durée: 
00:02:37

Partager